BBC Swahili ›› Zoezi la kuhesabu watu na makazi linaenedelea Uganda
Zoezi la kuhesabu watu na makazi yao limeanza huko nchini Uganda ikiwa kila mtu ndani ya mipaka ya taifa hilo atatakiwa kushiriki. Serikali ya taifa hilo inatazamia kukamilisha hesabu hiyo katika muda wa siku kumi. Miongoni mwa maswali ambayo watakaohojiwa …